Hospitali ya Apollo India huenda ikasitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania kutokana na deni kubwa inayodai.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu amesema hayo leo wakati alipokuwa akizindua bodi ya Wadhamini wa
Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Waziri Ummy amesema Apollo inadai Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 30 na kwamba wameshaanza kulipa deni hilo.
"Tulikuwa tunapeleka wagonjwa wengi kufuata matibabu nje ya nchi,
tumeanza kulipa deni hilo na tunashukuru idadi imepungua hadi wagonjwa
304 mwaka 2016 kutoka wagonjwa 533 2015 sawa na asilimia 45.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment