Wednesday, 22 March 2017

Kimenukaa..Kamanda Sirro Amuita Makonda Centro,Awataka Wote Waliohusika Aonanae Nao Polisi Haraka..!!!.Fahamu zaidi hapa.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment