Thursday 22 December 2016

BAADA YA MGOMO KWISHA, YANGA KUFANYA MAZOEZI MARA YA PILI LEO ASUBUHI.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga leo wataendelea na mazoezi kwa mara ya pili ikiwa ni baada ya kugoma siku mbili.

Wachezaji wa Yanga waligoma kufanya mazoezi kwa madai kuwa hawajalipwa mshahara wao wa mwezi uliopita.

Lakini, jana jioni walirejea mazoezini baada ya kuwa wamezungumza na uongozi na kukubaliana kuwa watamalizana.


Leo wanaendelea na mazoezi kwa mara ya pili ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi yao dhidi African Lyon ambayo itapigwa kesho Ijumaa.


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment