Tuesday 27 December 2016

NDANDA WANAONEKANA WAKO FITI, WAKO TAYARI KWA YANGA KESHO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kikosi cha Ndanda FC kimeendelea na mazoezi yake ya mwisho leo kabla ya kuivaa Yanga, kesho.

Ndanda FC wanaonekana wako fiti wakisubiri mechi hiyo ya kesho dhidi ya Yanga pale kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mazoezi hayo, Wachezaji wa Ndandsi walionekana ni wenye morali na walio tayari kwa ajili ya mechi hiyo.

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment