Saturday 24 December 2016

BEN Pol Ametaja Kiwango cha Pesa Utachotakiwa Kumlipa ili Upate Collabo yake.Fahamu zaidi hapa.

Inawezekana kabisa star wa BongoFlava na R&B, Ben Pol amegundua kwamba nyimbo nyingi anazoshirikiswa na wasanii wenzake zimekuwa zikiwapa mafanikio makubwa pamoja na kuwaingizia fedha za kutosha.

Kupitia Twitter, Ben Pol ametaja kiwango cha pesa ambacho msanii atatakiwa kumlipa ili apate collobo yake.

Ben Pol amesema kama kuna msanii anayehitaji kufanya naye kwazi kwasasa inabidi ahakikishe anamalizana naye kabla ya December 31, 2016 kwasababu kuanzia mwaka 2017 ili kufanya kazi naye itabidi msanii alipie kiasi cha dola 5000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 10 za Tanzania.


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment