Wednesday 28 December 2016

FARID MUSSA MAMBO SAFI, SASA KUPAA KWENDA HISPANIA LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kiungo mwenye kasi, Farid Mussa anatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda Hispania.

Mussa anakwenda kujiunga na klabu ya Derpotivo Tennerife ya Hispania.

Awali alikwama kujiunga na timu hiyo kutokana na kuwa na matatizo ya usajili.


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment