Monday 26 December 2016

Picha: Utampenda Ray C akiwa ndani ya muonekano mpya wa kihindi.Fahamu zaidi hapa.

Huwenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki.

Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu na baadaye kukaa kwa muda mrefu ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake mpya, wiki hii amepiga picha zake mpya zinazomuonyesha akiwa na muonekano wa kihindi. Angalia picha.

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment