Sunday 12 June 2016

#MICHEZO>>>Timu ya Young African Sports club imeondoka alfajiri ya leo kuelekea nchini Uturuki.Fahamu zaidi hapa.

Mbele ni Deusi Kaseke na Nyuma yake ni Donald Dombo Ngoma.
Julius Nyerere International Airport ( JNIA) , kikosi cha Young African Sports club kimepaa alfajiri ya leo kuelekea nchini Uturuki kwa kmbi ya muda mfupi kabla ya kuwavaa Mo Bejaia nchini Algeria jumapili ijayo .
Kikosi cha mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania bara na kombe la FA kilichoondoka asubuhi hii ni kama ifuatavyo;

1. Makipa
Deogratius Munishi
Ali Mustafa
Beno Kakolanya


2. Walinzi
Hassani Kessy
Mwinyi Haji
Oscar Joshua
Andrew Vicent
Kelvin Yondani
Mbuyu Twite
Pato Ngonyani
Nadir Haroub


3.Viungo
Thabani Kamusoko
Juma Saidi
Saimon Msuva
Haruna Niyonzima
Deusi Kaseke
Geofrey Mwashuiya
Juma Mahadhi


4. Washambuliaji
Donald Dombo Ngoma
Amisi Tambwe
Mateo Antony

0 comments:

Post a Comment