Chris Brown amekamatwa akiwa anaendesha pikipiki isiyokuwa na Plate
number huko Amsterdam na kuweza kujichomoa kutoka kwenye tatizo hilo.
Imegundulika kuwa askari waliomkamata hawakujua ni mtu maarufu sana na walikubali kupotezea kosa hilo mpaka baadae walipojikuta wamezungukwa na wapiga picha.
Chris Brown alipewa ticket ya kosa hilo na kupelekwa kwenye kituo cha polisi kulipa faini.
0 comments:
Post a Comment