Hiki ndo alicho kisema Zittokabwe kwenye ukulasa wake wa Instagram"Kukubali kufanywa vikaragosi vya viongozi ni dalili ya woga,
si dalili ya heshima; na woga na heshima ni vitu viwili mbali mbali.
Maadili mema hayatudai tuwaogope viongozi wetu. Na viongozi makini
hupenda kupata heshima ya wananchi wenzao, lakini hawapendi kuogopwa.
Kuogopwa ni sifa na ada ya madikteta, viongozi halisi hawapendi
kuishiriki. Kujenga mazoea ya kutii viongozi hata katika mambo haramu ni
dalili ya woga, ni kukaribisha udikteta"
0 comments:
Post a Comment