Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>>Majay Birthday: Lulu Amwambia Majay ‘I think Sisi ni Perfect Combo’.Fahamu zaidi hapa.
Leo ni siku ya kuzaliwa ya CEO wa EFM, Majay, ambapo wadau mbalimbali
pamoja na watu wake wa karibu wanamtakia heri ya mafanikio katika maisha
yake.
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kuwa kwenye mahusiano na bosi
huyo, amekuwa ni mmoja kati wa watu waliomtumia ujumbe wa heri ya
mafanikio huku ujumbe wake ukionyesha ukaribu wa kimahusiano zaidi.
“Juhudi zako, uchapakazi na ukarimu ni vitu vichache tu kati ya vingi
ninavyojivunia na nakujifunza kutoka kwako, I think sisi ni perfect
Combo,” aliandika Lulu instagram.
Aliongeza, “Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe bosi wangu (I mean kuwa
CEO na vitu kama hivyo) Juhudi zako tunaziona, tuko nyuma yako na
tunakuombea mafanikio zaidi na zaidi. Yesu Wangu akutunze kwa ajili
yangu na familia yetu kwa ujumla. Happy birthday baba G, My successful,”
Tetesi za mahusiano ya Majay na Lulu zilishika kasi zaidi baada ya
wawili hao kuongozana kwenda Nigeria katika utoaji wa Tuzo ya Africa
Magic Viewers Choice (MVCA) 2016.
Related Posts:
MWIMBAJI Kaligraph Jones Wakenya Afuata Nyayo za Ray Kigosi Kwa Kujichubua na Kusingizia Maji.
Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri, anakunywa maji masafi kwa wingi, anadrive gari zuri ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia wenyeweKama unakumbuka Ray naye alidai k… Read More
Alichosema Miss TZ Diana baada ya kupewa gari lake miezi 6 baada ya fainali (+video).
Miss Tanzania 2-16 Diana Edward ameongea baada ya kukabidhiwa zawadi ya
gari aliyoahidiwa kwenye mashindayo hayo yaliyofanyika October 2016.
Diana amesema hakukata tamaa kuhusu kuisubiria zawadi yake hata kama
imechukua … Read More
BAADA ya Bunge Live, Wasanii, Magazeti, Sasa Mwakyembe Asema Mitandao ya Kijamii ni Hatari Lazima.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe amesema watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania ni wengi
sana hivyo mitandao hiyo kama haitadhibitiwa mapema huenda ikaleta
matatizo katika n… Read More
JOSEPH HAULE (@ProfessorJayTz) aliposimama BUNGENI kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari.
Hii ni kauli ya Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay
aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya
Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti
linaloendelea.
Downlo… Read More
Mke wa Msanii Roma AMSHAMBULIA Madee kwa kauli hii aliyo iandika.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
… Read More
0 comments:
Post a Comment