Saturday, 10 September 2016

#MICHEZO>>>>VIDEO YA MABAO YA MAN CITY DHIDI YA MAN UTD.

Mabao yote yalifungwa kipindi cha kwanza, wafungaji kwa upande wa Man City ni De Bruyne aliyetupia dakika ya 15 kisha Iheanacho akaongeza la pili dakika ya 36, bao pekee la wenyeji Man United liliwekwa kimiani na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 42.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment