CEO wa EFM, Majay amepokea mabusu yakutosha kutoka kwa mpenzi wake Elizabeth Micheal ‘Lulu’ katika tafrija ya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Malkia huyo wa filamu Ijumaa hii alimwandikia ujumbe mzuri wa kumtakia heri ya mafanikio huku ndani kukiwa na ujumbe ‘I think sisi ni perfect combo’. Video:
Saturday, 10 September 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>MREMBO Lulu Michael Amwagia Mabusu Hadharani Majay.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>MREMBO Lulu Michael Amwagia Mabusu Hadharani Majay.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
Diamond ataja sababu ya kumshirikisha Young Killer kwenye wimbo wake mpya.Fahamu zaidi hapa.Diamond amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kumshirikisha Young Killer katika wimbo wake mpya ambao bado haujatoka. Ni mara nyingi hitmaker huyo wa Marry You, ameonekana kushindwa kuzizuia hisia zake za kumkubali Msodo… Read More
STEVE Nyerere Azidi Kuwachamba Wasanii Walioandamana..Adai Nay wa Mitego Alikuwa Sahihi Kuwatukana.Fahamu zaidi hapa. Muigizaji na mchekeshaji maarufu nchini Steve Nyerere amemuombea msamaha msanii wa muziki Nay wa Mitego kwa kuwaita wasanii wa filamu wote walioandamana kupinga uingizwaji wa filamu kutoka nje ya nchi kuwa ni 'Mat… Read More
Dj Khaled aongeza nguvu kwenye albamu yake mpya. Rapper huyo ameamua kuwaongeza mastaa wengine wawili, katika albamu hiyo, wakiwemo muimbaji Rihanna na Rapper Nas. Khaled amesema hayo mjini Los Angeles, katika Power 106 ambapo kwa msanii Rihanna, itakuwa mara yake ya k… Read More
FAIZA Ally Asema Anatarajia Mtoto wa Kiume...Atuonyesha Picha ya Tumbo Lake. Mwanadada Faiza Ally aliye kuwa mke wa Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anatarajia mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye bado hajamueka mtandaoni wake wa Instagram. Faiza ambaye amekuwa maarufu kutokana na mavazi yake ya kusht… Read More
Haya ndio Majibu ya Nay wa Mitego baada ya kuombwa pambano la ngumi na Yusuph Mlela. Siku chache sasa zimepita tangu muigizaji staa wa Bongo movie Yusuph Mlela kuomba pambano la ngumi dhidi ya rapa Nay Wa Mitego, sasa kinachoendelea ni kwamba ujumbe huo umemfikia mhusika. Kutokana na ujumbe huo wa Yusup… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment