Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Wakenya Wasimama Kidete Kumtetea Huddah Baada ya Kuingia Kwenye Bifu na Zari, Wema Sepetu Atajwa.Fahamu zaidi hapa.
Wakenya wamekuja juu baada ya Dongo la Zari Kumpata Huddah Kuwa ni Nyaku
Nyaku, Inasemekana Diamond yupo nchini Kenya ambapo ameenda kupiga Show
Mombasa, sasa wadaku wa Kenya wanasema hiyo ndio sababu Zari Huko alipo
hapakaliki kwani anahisi Mrembo Huddah atachukua nafasi hiyo Kumnyakuwa
Diamond.....
Hivi Ndiyo Wasemevyo Wakenya Wakimtetea Mtu wao Huddah Monroe na
kuwaponda Wabongo ambae huwa kazi yao Kuponda tu wakimtaja na Wema
Sepetu kuwa Wabongo Wamegive Up Kwake:
Related Posts:
Nay wa Mitego: Usalama wangu umekuwa mdogo, wanapanga kunipoteza.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa muziki wa hip hop ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Wapo’ Nay wa Mitego amedai kuna watu wanataka kumpoteza.
Wiki moja iliyopita rapper huyo alikamatwa na jeshi la polisi kutokana na wimbo wake mpya ‘Wapo’.
Hata… Read More
Baada ya Harmorapa..Sasa Kuna Wemarapa..Adai Wema Anajipendekeza Kwake Ila Hana Mpango Nae.Fahamu zaidi hapa.
Kuna imani kuwa duniani wawiliwawili! Hii inajidhihirisha kwa mwanadada
Lisa Deedee `Tuerny’ ambaye amejipatia umaarufu mitandaoni kutokana na
kufananishwa na staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
Kupitia gazeti hil… Read More
Shilole Ajivisha Pete ya Uchumba mwenyewe.Fahamu zaidi hapa.
STAA wa Filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ameamua kujivisha pete ya
uchumba mwenyewe, kitendo ambacho kimezua minong’ono kwa watu wengi
wakidai kuwa amevishwa na mtu ambaye hajamuweka wazi.
Akizungumza na Ijumaa, S… Read More
OFM Wamvaa Masogange ‘Kininja’, Siri Nzito Yafichuka Kuhusu Maisha Yake.Fahamu zaidi hapa.
KUFUATIA madai kuwa, mrembo mwenye figa matata Bongo, Agnes Gerald
‘Masogange’ anaishi na kigogo mmoja kwenye mjengo wa kifahari kule
Makongo Juu jijini Dar na yale madai kuwa, anatumia madawa ya kulevya,
kikosi kazi ch… Read More
Kimenukaa..Nay wa Mitego Akataa Ombi la Rais Magufuli la Kuubadili Wimbo wa 'Wapo' Adai Liwalo na Liwe.Fahamu zaidi hapa.
Msanii Nay wa Mitego ambaye mwisho wa wiki amekutana na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amefunguka na
kushukuru kukutana na Waziri mwenye dhamana na kusema kwa sasa hakuna
anachoweza… Read More
0 comments:
Post a Comment