Home »
Makala
» USIMWAMBIE HAYA MWANDANI WAKO MUWAPO FARAGHANI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mapenzi hayana chuo kwamba utakwenda
kusomea kwa kipindi fulani kisha uhitimu na kutunukiwa cheti lah hasha!
Mapenzi ni utundu ambao kila mmoja akiamua kujifunza toka kwa mwenzie
ataweza kukata kiu ya mwandani wake. Tangu kuumbwa kwa dunia haijapata
kusikika eti mtu kafundishwa namna ya kukata kiu ya mkewe kitandani bali
wengi hufundishwa namna ya kuishi ili muweze kwenda sawa.
Kwa kawaida binadamu wote wanaweza kuwa
sawa lakini hawafanani kwa sababu ndivyo uumbaji wa Mungu ulivyo kwani
hata kwa upande wa mahaba wapo walioiva na wapo ambao bado ni ‘learner’,
sasa kama ilivyoada ya Mtembezi Mahaba leo itakudokeza wewe kijana rijali uwapo kwenye sita kwa sita na mpenzi wako kipi useme na kipi usiseme.
Sio hivyo, kwa
kawaida wanawake ni viumbe wenye hasira za karibu na mara nyingi maneno
madogo madogo yanaweza kuwaondoa ama kuziondoa kabisa hisia muwapo
kitandani. Kwa mfano unamwelekeza akaeje ama alale vipi ili muweze
kufaidi utamu wa tendo ikatokea ukamwambia sio hivyo, unafanya nini? maneno
haya yanaweza kumvunja nguvu na kuondoa munkari wa mapenzi hivyo kuwa
makini usijekosa kuupata utamu. Mwelekeze kwa lugha laini za kimahaba
mtaweza kuogelea kwa pamoja kwenye bahari ya ‘malovedove’.
Nilizoea kufanya hivi, kitendo
cha kumwambia ama kumwonesha mpenzi wako wa sasa kwamba mpenzi wako wa
zamani alikuwa na kawaida ya kukufanyia hili na lile litamfanya akose
amani na pengine kushindwa kabisa kutoa ushirikiano wa kutosha wakati wa
kungonoka. Kama mwanaume rijali hupaswi kueleza mambo ya kusisimua
uliyokuwa ukifanyiwa na mpenzi wako wa zamani mlipokuwa mkidooo… endapo utaamua kusema itamfanya akose amani na kuwa mwenye wivu wa kupindukia wakati wote.
Sina muda wa kutosha leo,
jambo la msingi ambalo wanaume wanapaswa kufahamu ni wanawake wanapenda
kuoneshwa mahaba tena kwa kutengewa muda ambao ataridhika na roho yake
kuwa kwatuu… sasa ikatokea wewe unaonesha kuwa ‘busy’
na mara nyingi umekuwa mtu wa kuwa na ‘excuse’ itamfanya kutokukutilia
maanani kiasi cha kumfanya awaze kuchepuka.
Natamani ungekuwa na kitu fulani, hakuna
kitu kinachomkosesha amani mwanamke pale anapoambiwa kitu
kinachokosekana kwenye mwili wake, mathalani aambiwe mbona una makalio
madogo, kwanini miguu yako myembamba, mbona mwili wako una makovu sana.
Yote haya yanamfanya ajisikie aibu na ikitokea akashindwa kujizuia
anaweza kukutolea maneno machafu na hata akaamua kuachana na wewe.
Hujafika kileleni? Anaudhika
na kukereka sana pale mwanamke anapoulizwa kama amekwishafika kileleni
kwani swali hilo linaonesha kama linamdhalilisha na kumlazimisha kusema
hata kama hajafika. Kwa mfano ukamuuliza hujafika tu kileleni? Anaweza
kukujibu kwa ghadhabu ilimradi tu mmalize muondoke sababu ukweli ni
kwamba sio jambo jepesi kukata haraka kiu ya mapenzi kwa mwanamke ndio
maana mwanaume anapaswa kuwa makini na kutambua sehemu ambazo mwanamke
akishikwa atanyegeka ili afike kileleni.
0 comments:
Post a Comment