Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>Wema Sepetu Huijui Mtwara au Dharau Kwa Wanamtwara?...Fahamu zaidi hapa.
Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili
azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana
jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui,
MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui
MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na
dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!
By PACHOTO/JF
Related Posts:
Za Moto Moto...Ray Ashindwa Kuishi na Chuchu,,,!!!!!.Fahamu zaidi hapa.
Pamoja na kumzalia mtoto wa kiume aitwaye Jaden, staa wa sinema za
Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kushindwa kuishi na mwandani
wake, Chuchu Hans ambaye naye ni mkali wa Bongo Muvi, kisa kikielezwa
kuwa ni mama w… Read More
Jokate Ajibu Baada ya Alikiba na Mama Yake Kumkana,,!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kuulizwa kwenye kipindi cha clouds 360 anachukuliaje Ali Kiba
na mama yake kumkana kwenye mapokezi ya msanii huyo, mrembo Jokate
alijibu "Mimi kila kitu nachukulia positive unaambiwa tenda wema nenda
zako, kwan… Read More
Man Fongo Anyang'anywa Gari na Aliyekuwa Meneja wake...Kisa Uchawi.Fahamu zaidi hapa.
Man Fongo anyang'anywa gari na aliyekuwa meneja wake baada ya kupigana chini,
Bonyeza play kusikiliza kisa kizima:
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>… Read More
Picha: Davido ampatia baba yake gari la 395m kwenye birthday yake.Fahamu zaidi hapa.Jumapili hii ilikuwa ni siku muhimu kwa baba yake Davido, Adedeji
Adeleke ambaye ametimiza miaka 60 ya kuzaliwa. Katika kusherehekea hilo
Davido alimpatia baba yake zawadi yenye thamani ya zaidi milioni 395 kwa
fedha za Bo… Read More
Mama Wema Sepetu akamatwa na Polisi.Fahamu zaidi hapa.
Mama
mzazi wa Wema Sepetu, Mariam jana alikamatwa na Polisi jijini Dar es
Salaam akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyiffu kutoka kwa
mfanyabiashara, Alex Msama.
Kwa
mijibu wa gazeti la Mwananchi, Mariam … Read More
0 comments:
Post a Comment