Monday, 12 September 2016

#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aongoza Swala Ya Idd El Haji Viwanja Vya Mwembe Yanga Temeke Jijini Dar Es Salaam.Fahamu zaidi hapa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hutuba katika swala ya Idd El Haji iliyofanyika Viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi.
 Swala ikiendelea.
Waziri Mkuu alivyojumuika na waislam wenzake katika swala hiyo.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Haji.
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
 Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.

 

<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment