Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>YAJUE MATAIFA YANAYOPINGA UWEPO WA MUNGU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu
duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa yasiyoamini uwepo
wa Mungu (Atheism).
Yasemekana kiwango cha watu kuwa na
imani na dini na uwepo wa Mungu kinazidi kupungua duniani huku makanisa
mengi hasa Ulaya yakigeuzwa kuwa majumba ya starehe japo pia yasemekana
kwamba watu wanatumia teknolojia zaidi hasa luninga kusikiliza mahubiri
majumbani mwao huku wakituma sadaka kwa njia ya miamala kama za M-Pesa
ama tiGO-Pesa
Wazungu wengi ambao ndio walisambaza
dini huku Afrika kwa njia ya Umishenari wanaamini kwamba Dini ni jambo
la kufikirika na kuogofesha tu ili kupunguza maovu duniani na kuwanyima
watu KULA BATA huku wakiwakamua mapato yao kwa njia ya kinachoitwa ZAKA
NA SADAKA….
1. Asilimia 75 ya Wachina hawana dini
kutokana na kuaminishwa na Mao Zedong kuzama kwenye Ukomonist mwanzoni
mwa miaka ya 70. Wachina wengi wanaamini katika ‘CONFUCIUS’ huku wakila
chochote kilicho mbele yao, hata hivyo hali hii inasemekana kusababishwa
na wingi wa watu nchini humo usioendana pengine Tanzania tunachagua kwa
sababu bado tupo wachache na chakula kipo tele huku tayari Raisi wa
Malwi akiamuru watu wale kula panya na panzi kwa kuwa wanapatikana kwa
wingi nchini humo
2. Wajapani wengi hawajielewi na wengi
wao wana dini zaidi ya moja yaani unaweza Ijumaa ukamkuta Msikitini,
Jumamosi Usabatoni na Jumapili pia anazama kanisa lolote.
3. Huku Raia wengi wa Vietnam wanaabudu
babu zao, yaani siku akijisikia kuabudu anakwenda kwenye kaburi la Babu
yake anakula gombo na kurudi nyumbani. ….Ilihali Wahindi wengi
wakiabudu wanyama aghalabu Ng’ombe kama Mungu wao
4. Jamhuri ya Czech ……wao wanaamini
zaidi kwenye Ukomunisti, ni asilimia 21 tu wanaoamini uwepo wa
Mungu….Hii pia imechangiwa na makatazo ya watawala wa kikomunisti tangu
enzi za akina Milosovic ingawa wengi wa walioulizwa ni kama walikua
hawajielewi kama wana dini ama la
5) Sweden na Denmark. asilimi 17 tu
ndio wanaamini kwamba Mungu Yupo na hii inawarahishia kutoishi bila hofu
na kutenda dhambi yoyote waitakayo……….Waswidi na Wadenish wengi
wamegeuza baa kuwa ndio ‘makanisa yao’
6. United Kingdom (40% wenye dini) na
Ufaransa (41%) na kwingineko kwenye nchi nyingi tu za ulaya magharibi na
mashariki…Wanawake na Wazee tu ndio husali huku vijana wengi
wakiendelea kula bata na kugeukia ushoga na usagaji ……Kuna marafiki
zangu ni wafaransa hakika hawajui kitu chochote kinachohusiana na Mungu,
si biblia wala Quran huwa hawaabudu kitu chochote
7. Hongkong pia ni moja ya nchi yenye wapagani wengi duniani (52%)……………nyingine zikiwa ni Norway (39%), Austria, Israel, …
0 comments:
Post a Comment