Sunday 15 January 2017

Lowassa - Kama Rais Hataki Kutoa Chakula ,Chadema Tutatoa Chakula kwa Wenye Njaa...!!!..Fahamu zaidi hapa.

Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.


''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.

Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment