Tuesday 17 January 2017

Tazama Video ya Sakata la Maiti Kukutwa Chumbani Saa Chache Baada ya Kuzikwa Kaburini.Fahamu zaidi hapa.

Tukio la kustaajabisha limetokea mkoani Mbeya ambapo katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto anayedaiwa kuwa alikuwa amezikwa amekutwa akiwa amelala chumbani baada ya mazishi.
Kwa mujibu wa majirani na mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa walimzika mtoto huyo lakini hawaelewi ni kitu gani kilitokea hadi mtoto akawa yupo ndani. Aidha, Polisi walifika na kuuchukua mwili huo kwa ajili ya vipimo zaidi lakini haifahamiki kama aliyechukuliwa na polisi yupo hai au amekufa kwani baadhi ya mashuhuda wanadai alikuwa akitoa damu.
Hapa chini ni video ikionyesha mashuhuda wa tukio hilo wakieleza hali ilivyo;



Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

                              Follow me instagram 

 

0 comments:

Post a Comment