Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta
unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa
tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana
ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo
alivyo.
Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment