Wednesday, 15 March 2017

LEVERKUSEN YAJITUTUMUA, YAPATA SARE YA 0-0 UGENINI, LAKINI ATLETICO MADRID YASONGA ROBO FAINALI KWA 4-2.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Pamoja na Bayer Leverkusen kujitutumua na kupata sare ya bila mabao dhidi ya Atletico jijini Madrid, lakini imeishia njiani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Atletico Madrid imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2 ambao iliupata ugenini.

Katika mechi ya leo, kila timu ilionyesha kiwango cha juu, kosakosa nyingi lakini  hadi mwisho hakukuwa na bao hata moja.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment