CCM yaendelea na Operesheni ya Kutumbua Wasaliti.
KATIBU wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey
Polepole amesema viongozi na watendaji watakaoitumia CCM kwa faida yao
binafsi siku zao zitahesabika.
Aidha, Polepole alisema chama hicho kitaendelea ku…Read More
WAANDISHI wa TBC Wanyang'anywa Kamera.
Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 9:00 alasiri katika Barabara ya
Darajani Mnazi Mmoja, eneo maarufu la Shule ya Sekondari Ben Bella
mjini Unguja.
Akizungumza na gazeti la Nipashe, dereva wa gari la TBC Mohammed A…Read More
Manji amuomba radhi Rais Magufuli sakata la Coco Beach.
Mfanyabiashara maarufu na Diwani wa Mbagala, Yusuf Manji amemuomba radhi
Rais John Magufuli kutokana na kesi aliyoifungua akidai kupewa haki ya
uwekezaji katika eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam.
Manji ambaye pia n…Read More
0 comments:
Post a Comment