Monday, 20 March 2017

Reginald Mengi afunguka makubwa akiwa ameenda kuwafaliji Clouds midia.Fahamu zaidi hapa.

"Jambo lililofanyika ni la hatari sana. Na lazima tujiulize mtu huyu ( Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ) anapata wapi ujasiri huu?. Kama alikuja na bunduki hapa anaweza kwenda nazo popote na pengine kuna siku atazitumia.
Mimi nina imani kwamba tuna Rais anayetupenda sana, na tuna Waziri anayetupenda sana. Lakini mapenzi hayo lazima yaonyeshwe kwa vitendo.
" Sura moja ya muandishi wa habari ni kutokuwa muoga. Jambo hili lililotokea lisifanye tukawa waoga. Wanahabari sio waoga." - #ReginaldMengi



Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment