Kauli ya mhariri: Ngono ni kama pesa, gofu au pombe aina ya whisky. Hata
inapokuwa mbaya, ni nzuri. Kulingana na utafiti uliofanywa majuzi, pesa
nyingi zinakusaidia kuwa na maisha mema ki mapenzi. Ian Isherwood
anatoa sababu tano ambazo zitakufanya kufikiria mara mbili kuhusiana na
wasichana wanaofanya ngono ya kulipwa kulingana na utafiti uliofanywa.
1. Huwa hawajali
Usemi kuwa pesa haziwezi kununua furaha hutumiwa na watu walio na pesa
kuwafanya wenzao kutojihurumia kwa kukosa pesa. Hii ni kwa sababu
matajiri hawana shinikizo yoyote maishani kifedha.
Ukweli ni kuwa, ikiwa una shinikizo, hauwezi kupata ngono ya kuridhisha
kwa sababu shinikizo huua matamanio ya kufanya ngono. Hii ni kufikiria
kuhusiana na masuala kadhaa yanayokuathiri kutokana na ukosefu wa fedha.
2. Wanaume walio na pesa huwa wazuri zaidi kitandani
Wanawake wengi hawawezi kubeba mimba ikiwa hawana uhakika kama mtoto
atatunzwa vyema, hivyo mwanamke kama huyo akipatana na mwanamume tajiri,
kazi nyingi huwa kitandani na huwa hana hofu yoyote akishiriki ngono na
mwanamume wa aina hiyo. Ikiwa mwanamke hana hofu, kuna uwezo zaidi wa
kufikia kilele mara nyingi. Hivyo wasichana hukimbiza sio pesa pekee
bali pia kuridhika!
3. Pesa zinaweza kununua mapenzi
Watu wengi matajiri wamegundua kuwa pesa zinaweza kuwapa uwezo wa kuwa
na ujasiri. Ukichanganya hayo pamoja, matokeo yatakuwa ngono yenye
kuridhisha. Huwa na pesa za kununua nguo na kujimwaya hivyo, hujiamini,
hata kitandani!
4. Afya yako, mali yako
Matajiri huwa wanakula vyema kwa sababu wana pesa za kununua chakula.
Huwa pia wanafanya mazoezi mara kwa mara kuhakikisha kuwa wamesalia
wenye afya. Ukiwa na afya nzuri, ina maanisha kuwa una uwezo mkubwa wa
kufanya vyema kitandani.
5. Wana wakati mwingi wa kutembea
Watu ambao ni matajiri huwa mara nyingi na uwezo wa kukubali kufanya
mambo yaliyo hatari. Kutokana na utafiti, kufanya hivyo kunaweza
kuimarisha hamu ya kushiriki ngono. Hii ni kutokana na kuwa watajaribu
mitindo mipya kitandani.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment