Tuesday, 21 March 2017

Video: Hii Ndiyo Sababu ya Wabunge Dalaly Kafumu na Vicky Kamata Kujiuzulu.Fahamu zaidi hapa.

BAADA ya jana Machi 20, 2017, Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata  kujiuzulu nyadhifa zao hizo, mbele uya kamera za Global TV Online, wabunge hao wametoa kauli zao kuhusu kiini cha wao kufanya maamuzi hayo magumu.

Kafumu ni Mbunge wa Jimbo la Igunga (CCM) ambapo Vicky Kamata ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akiwakilisha wanawake wa Mkoa wa Geita.

WASIKILIZE WENYEWE WAKIFUNGUKA


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment