Siku za hivi karibuni kumekuwa na mkanda wa video unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ambao anaonekana mwanamke mmoja akihojiwa akidai kuwa amezaa mtoto na Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima.
Katika
video hiyo anaonekana mtangazaji wa Clouds Fm/Tv, Soudy Brown akimhoji
mama huyo ambaye alisema kuwa amezaa mtoto na Askofu Gwajima. Mwanamke
huyo anaeleza kuwa kazi yake yeye alikuwa akifanya usafi katika kanisa
hilo kipindi likiwa Kawe kabla ya kuhamia Ubungo.
Hata
hivyo, Clouds waligoma kuirusha hewani taarifa hiyo kwa madai kuwa
haina mashiko, hali iliyomfanya mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda kuvamia
ofisi hizo huku akiwa na Polisi
Kufuatia Tuhuma hizo, Leo Gwajima ametolea ufafanuzi suala hilo.
==>Tazama Video hapo chini
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment