Saturday 18 June 2016

#Breaking News>>>Polisi wamezuia mahafali ya wanachuo WA UDOM wanachama WA CHADEMA leo.Fahamu zaidi hapa.

 Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma  limesambaratisha wanafunzi  wa vyuo vikuu  wanachama wa Chadema ( Chadema Students Organization -CHASO ) waliokuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika  Ukumbi wa African Dreams  ulipo Area D mjini Dodoma.
 

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi walikamatwa baada ya kuwambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao. 

Polisi wamesema mikusanyiko  yote ya kisiasa ilishapigwa marufuku, hivyo hata mahafali hiyo ilikuwa batili
 Polisi wakiwa kwenye gari lao hii leo.

0 comments:

Post a Comment