Tuesday 21 June 2016

NEW VIDEO DIAMOND PLATINUMS FEAT P SQUARE.Hapa hapa.

Hii imekuwa video iliyosambaa zaidi mitandaoni baada ya kutolewa kama tangazo kuwa msanii Diamond Playnumz anatoa kazi yake mpya aliyofanya na wasanii wa kimataifa kutoka Nigeria P Square.
Leo Diamond ameandika haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:
“My People!!!!!!!!! Subscribe to my Youtube Channel now so that you can be the first one to watch the HIT from SIMBA ft P-SQUARE!!!! (Najua unakiu kias gani….haya Jiunge na Channel yangu ya YOUTUBE sasa ili uwe mtu wa kwanza kushuhudia Mshine yangu Mpya Nilowashirikisha P-SQUARE! ) Cc @peterpsquare @rudeboypsquare #SimbaKaseMa”
Hii ni miongoni mwa collabo zilizosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa bongo fleva,nyingini ni pamoja na collabo yake na Neyo na WizKid.

0 comments:

Post a Comment