Saturday 18 June 2016

Kikosi cha Young African SC kimewasili nchini Algeria tayari kwa mchezo wake.Fahamu zaidi hapa.

Young African SC wakiwa wamewasili nchini Algeria kwa ndege ya kukodi wakitokea Uturuki katika mji wa Antalya ilipo kambi yao.

Kikosi kizima kipo salama , Vicent Bossou aliungana na wenzie nchini Uturuki hapo jana!Yanga Afrika watashuka dimbani tar 19, june (Jumapili)saa 6:15 usiku kwa saa za hapa Tanzania kukwaana na MO Bejaia katika mchezo wa kwanza wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.


0 comments:

Post a Comment