Thursday 23 June 2016

#MICHEZO>>>>TAARIFA YA MPYA YA MECHI YA YANGA V TP MAZEMBE.Fahamu zaidi hapa.

Afisa habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro

Klabu ya Yanga imetoa taarifa mpya kuhusu mabadiliko ya mchezo wao wa kimataifa wa kombe la shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe.

Mchezo huo ni wa pili kwa timu hizo, Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huo na itahitaji ushindi kwa namna yeyote ile ili kupunguza gap la pointi baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza ugenini dhidi ya MO Bejaia ya Algeria wakati TP Mazembe wao walishinda dhidi ya Medeama.

Taarifa hiyo inasomeka hivi…


0 comments:

Post a Comment