Sunday 19 June 2016

Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).Fahamu zaidi hapa.

Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa kuwania Tuzo na Nigeria, Nigerian Entertainment Awards 2016 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa kike wa Afrika/ Nje ya Nigeria ‘African Female Artist (Non Nigerian / Africa)’

Vanessa atachuana na wasanii wengine kama Efya (GH), Lira (SA), MZ Vee (GH), Sheebah Ndiwanjawulo (UG), Adiouza (SN), Victoria Kimani (KQ), Knowless Butera (RW).

0 comments:

Post a Comment