Saturday 18 June 2016

#YALIYOJIRI>>>MH. EDWARD LOWASSA LEO KAINGIA MLIMANI CITY, NA KUFUNGA SHUGULI KWA MUDA, BAADA YA WATU KUANZA KUMKIMBILIA ANGALAU WAMUONE..Fahamu zaidi hapa.

Mh. Edward Lowassa,Baada ya kumalizika kwa Mahafali ametembelea Mlimani City Moja ya Miradi iliyoanzishwa chini usimamizi wake.

So amazing asiee, kumbe CHADEMA ndio kimbilio la watu na tumaini la kweli katika mioyo yao. Hii ni yakushangaza na ni kweli, sijawahi ona kiongozi wa CCM kukimbiliwa kiasi hiki. Nadhani leo Intelijensia walikwenda mahafali ya CHASO hawakumzuia lowassa wetu.

TUTEGEMEE NINI
Tunakoendelea ukiwa mwana UKAWA ukaingia Public Toilet ukitoka utaweza kuta choo kimezingirwa kwa sababu za kiusalama😂😂😂😂,Intelijensia is Loading...

Kwakua kadiri wanavyozidi kuiminya CHADEMA ndivyo inavyozidi kua maarufu.
Naona leo Intelijensia haikua hewani nadhani walikwenda mahafali ya CHASO. Kama intelijenisia haikwenda mahafali naamini wangezingira Mlimani City na kusema Lowassa haruhusiwi kutembea kwa sababu za kiusalama. 

Hivi hizo sababu za Kiusalama ni chombo gani mbona hujawahi ona zikiwa tatizo kwa taifa hili, la watu wapole na waoga na wastaarabu.

Chanzo 
               Henry Nkya

0 comments:

Post a Comment