Saturday 18 June 2016

#Breaking News>>>>Hali ya Karia koo mtaa wa Kongo yalindima Mabomu hii leo.Fahamu zaidi hapa.

 Hali ya Karia koo mtaa wa Kongo Hali ndivyo ilivyo mabomu yamachozi yakiendelea tatizo wamachinga toka majira ya saa 7 mchana.

HABARI ZA HIVI PUNDE~polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya wamachinga wanaopanga bidhaa zao mbele ya maduka Kariakoo,Wamachinga hao wanasema hawajapatiwa maeneo maalum ya kufanya biashara,MTU mmoja kavunjika mguu..

0 comments:

Post a Comment