Friday 17 June 2016

#MICHEZO>>>>FC Platinum akisaini mkata wa miaka miwili na klabu ya Young African.Fahamu zaidi hapa.

 Obrey Chirwa toka FC Platinum akisaini kandarasi ya miaka miwili na klabu ya Young African.
Chirwa mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji kutokea kati kama namba 10 au kusimama kama winga wa kulia au kushoto anakuja kuziba nafasi ya Yousouf Boubacary aliyevunjiwa mkataba hivi karibuni. Ujio wa kiungo huyu unairudisha Young African katika idadi ya wachezaji saba wa kigeni tena ;
1. Donald Ngoma ( Zimbabwe)
2. Thabani Kamusoko( Zimbabwe)
3. Obrey Chirwa ( Zambia)
4. Haruna Niyonzima ( Rwanda)
5. Mbuyu Twite ( Burundi)
6. Amisi Tambwe ( Burundi)
7. Vicente Bossou ( Togo)


0 comments:

Post a Comment