Friday 26 August 2016

#YALIYOJIRI>>>>MASKINI HUYU KIONGOZI WA CHADEMA AVALISHWA HILI BANGO LA KARATASI NA POLISI LENYE HAYA MAANDISHI.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Huu ndio mtindo ambao Polisi wameanza kuufanya kwa Viongozi wa Kisiasa watakaokamatwa kwa makosa ya uchochezi.Hii ni kutaka jamii iwafahamu popote watakapopita kuwa watu hawa ni wachochezi na wawaepuke.

Kuelekea Septemba Mosi,viongozi watakaokamatwa kwa kosa la kichochezi watashikishwa mabango yanayowatambulisha kama wachochezi katika Jamii.Hali hii ni kuanzia kwa Mwalimu na kuendeelea mpaka kwa viongozi wengine.

0 comments:

Post a Comment