Friday 26 August 2016

#BREAKING NEWS>>>>Jenerali Ulimwengu kapata ajali mapema asubuhi leo.Fahamu zaidi hapa.

Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali Dar es Salaam asubuhi mapema leo.

Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.
Tutaendelea kuwaletea taarifa.

Mwanahabari Huru


0 comments:

Post a Comment