Friday 26 August 2016

#BREAKING NEWS>>>>>MAPAMBANO MAKALI KATI YA POLISI NA MAJAMBAZI MUDA HUU HUKO VIKINDU..ASKARI MMOJA KAPIGWA RISASI MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Askari mmoja amepigwa risasi na kikundi cha watu kinachosadikiwa kuwa ni Majambazi huko vikindu mkoa wa pwani muda huu, Kuna mapambano yanayoendelea askari na kikundi hicho cha Majambazi wanarushiana risasi hadi sasa.
 
Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.

Katika eneo la tukio tumeshuhudia magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

0 comments:

Post a Comment