Sunday 23 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea kupitia UKAWA Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi ni maeneo ya gongolamboto kuelekea chanika

Edward Lowassa akiongea na Wanafunzi waliokuwa wanasubiria daladala akiomwonyesha kichinjio 
Mh Edward Lowassa akiongea na Kondakta wa basi T917 CWS Gongolamboto vs Chanika

0 comments:

Post a Comment