Saturday 22 August 2015

#YALIYOJIRI>>>GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi waliokuwa wanaondoka kwenda kusoma vyuo vikuu nchini India mapema jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.




 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, wakikagua wanafunzi vyaraka muhimu walizopaswa kusafiri nazo ikiwemo viza, vyeti, na passport..

0 comments:

Post a Comment