Friday 28 August 2015

#YALIYOJIRI>>>MAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA MKOA WA KIPOLISI TEMEKE.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Endrew Satta akiwakabidhi vyeti baadhi ya madereva wa bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipiki katika wiki ya nenda kwa Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke, Endrew Satta akitembelea mabanda ya maonyesho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani iliyofanyika katika viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Umoja wa waendesha  Pikipiki  Temeke (UWAPITE) wakiwa kwenye picha ya pamoja katika vianja vya Mwembeyanga katika maazimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani.(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)

0 comments:

Post a Comment