Saturday 29 August 2015

#MICHEZO>>>BAYERN MUNICH USO KWA USO NA ARSENAL UEFA.Fahamu zaidi hapa.

Arsenal wamepangwa kundi moja na Bayern Munich kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu utakaoanza Septemba 15 mwaka huu. Kwenye kundi hilo (Kundi F) pia wamo Olympiakos kutoka Ugiriki na Dinamo Zagreb wa Croatia.

Washabiki wengi wa soka wanadhani kwamba makali ya Bayern Munich ni kikwazo mno kwa Arsenal na huenda Washika Bunduki hao wa London watashindwa kuvuka hatua za makundi.

Hata washabiki wa Arsenal hawajafurahishwa kuona timu yao imo kwenye kundi moja na Bayern ambao ni moja kati ya timu tishio za Ulaya kwa sasa. Nadhani ni kwa sababu timu yao imeondolewa na wababe hawa mara mbili kwenye.

0 comments:

Post a Comment