Wednesday 26 August 2015

#MICHEZO>>>Kombe la Ligi ratiba yake iko hapa.Jionee hapa.

Kombe la Ligi ni hivi

*Tottenham Hotspur v Arsenal*
Ratiba ya michuano ya Kombe la Ligi imetolewa, ambapo mabingwa watetezi, Chelsea wataanza kazi kwa safari ya kwenda kucheza na Walsall walio kwenye League One.

Hii ni michuano ya tatu kwa ukubwa England na Wales, kwani mikubwa zaidi ni Ligi Kuu ya England (EPL) ambayo mabingwa ni Chelsea pia, ikifuatiwa na Kombe la FA linaloshikiliwa na Arsenal kwa msimu wapili mfululizo.

0 comments:

Post a Comment