Monday 31 August 2015

#Breaking News>>>Njombe yavunja lekodi Mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia UKAWA Edward Lowassa hii leo.Fahamu Zaidi hapa.

Walisema hatuna ilani, lakini tunayo ilani bora inayotekelezeka" Edward lowassa akiwa Makambako.
Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akimnadi Mgombe Ubunge Jimbo la Makambako, Mhema Oraph. Uwanja wa Polisi
Waziri Mkuu Mstaafu,FredrickSumaye akiongea jambo na Mgombea Urais UKAWA EdwardLowassa leo Njombe.
"Sheria mpya ya mitandao inaanza kesho, kuweni waangalifu " Lawrence Masha Akiwa anazungumza na Wananjombe hii leo.
  Umati wa Wakazi wa Njombe Wakiwa wamebeba Msaraba
Umati wa Wakazi wa Njombe uliojitokeza kumsikiliza Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa hii leo.

Mkazi wa Njombe Akionyesha Furaha wakati Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa akiutubia hii leo.
Umati wa Wakazi wa Njombe uliojitokeza kumsikiliza Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa hii leo.
 Umati wa Wakazi wa Njombe ukisubili  kumpokea Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa hii leo.

Msafara wa Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa Kupitia UKAWA Msafara wake ukiwasili kwenye Viwanja vya Mdete Njombe mjini
Mgombe Urais wa UKAWA akiwasalimia wakazi wa Njombe hii leo.
Mgombe Urais wa UKAWA Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na Wagombea Udiwani wa Jimbo la Njombe hii leo.
Wauza viatu wakimshangilia Mgombea Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa.... Njombe hii leo.
Umati wa Wakazi wa Njombe uliojitokeza kumsikiliza Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa hii leo.
Bibi akiwa anaonyesha ishara ya Vidole Viwili kumaani Chadema Amakweli,Bibi anataka mabadiliko hii imetokea hii leo huko Njombe.
Umati wa Wakazi wa Njombe ukisubili  kumpokea Mgombe Urais Mhe. Edward Lowassa hii leo.
Toa maoni yako hapa.

0 comments:

Post a Comment