Saturday 29 August 2015

Breaking News>>>Mafuliko yaamia Uwanja wa Jangwani hii leoo kama unavyoona.ona zaidi hapa.

 Hapa ndo kwanza saa 7 mambo ndo haya je saa 10 itakuwaje maana watu wanazidi kuongezeka hapa Jangwani.
 Hii ni stage amboyo imekamilika kwa hajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA.
 Hawa ni wanaukawa wakiwa tayari kwa uzinduzi wa kampeni za UKAWA.
  Hawa ni wanaukawa wakiwa tayari kwa uzinduzi wa kampeni za UKAWA.
  Hawa ni wanaukawa wakiwa tayari kwa uzinduzi wa kampeni za UKAWA.

 WanaUKAWA wakiwa na bango.
Dada wa UKAWA akivalia mavazi ya Chadema.

0 comments:

Post a Comment