Saturday 22 August 2015

#YALIYOJIRI>>>MSAMA PROMOSHENI KUANDAA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI HAPA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.


Muandaaji wa matamasha ya injili hapa nchini, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na tamasha la kuombea Amani ya nchi juu ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu hapa nchiini na kushoto ni Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya tamasha la kuombea amani ya nchi yetu kuelekea uchaguzi, Hamis Pembe. Msama pia aliipongeza serikali kwa kukataza uwanja wa taifa kutumika kufanyia matukio ya kisiasa. Pia amesema kuwa katika tamasha hilo litahudhuriwa na wananchi mbalimbali pamoja na wasanii wa nyimbo za injili hapa nchini.



Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Alex Msama jijini Dar es Salaam leo. pia amengeza kuwa kwa waimbaji waliopo tayari kwa tamasha hilo ni pamoja na Boniface Mwaitege pamoja na Christopher Mwahangira.

0 comments:

Post a Comment