Friday 28 August 2015

#YALIYOJIRI>>>UBINGWA WA RIADHA DUNIANI.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kenya waongoza kwa medali

*Wawili wanaswa kwa dawa

Wanariadha wa Kenya wameonesha mafanikio makubwa kwenye michuano ya ubingwa wa dunia wa riadha, nchi yao ikiwa juu kwenye jedwali la medali.

Hadi alasiri ya Ijumaa hii, Kenya walikuwa wamejikusanyia medali  sita za dhahabu, ambazo hakuna nchi nyingine iliyopata idadi hiyo; tatu za fedha na mbili za shaba.

Kenya wanafuatiliwa na Marekani wenye medali tatu za dhahabu, nne za fedha na tano za shaba huku Jamaica wakiwa na tatu za dhahabu na mbili za shaba. Uingereza ndio wanafuata wakiwa na medali tatu za dhahabu na moja ya fedha.
Nafasi ya tano inashikwa na Poland ambayo wanariadha
Toa maoni yako hapa.

0 comments:

Post a Comment