Friday 28 August 2015

Breaking News>>>Maelfu yakesha Jangwa Kusubili mkutano wa UKAWA.Fahamu zaidi hapa.

Hawa ni Mashabiki wa UKAWA wakionekana na hamu ya Jumamosi ifike mapema huku mgombea Urais Kupitia UKAWA akiwa gumzo kila kona akifatwa na mafuliko ya watu na kuongelewa na watu tofautu.Huku UKAWA wakitalajia kufungua kampeni Jumamosi 29 AUGUST 2015.

0 comments:

Post a Comment