Saturday 29 August 2015

#Breaking News>>>Kumekucha Jangwani asubuhi ya leo kama unavo ona hapa Jionee hapa.

Hawa ni baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa wanasubili mkutano mkuu wa kufungua kampeni za Urasi hii leo.

 Hawa ni wanaUKAWA wakimchangi mgombea urais kupitia UKAWA Edward Lowassa kwa hajili ya kampeni.
 Hawa ni baadhi ya watu waliojitokeza katika Viwanja vya Jangwani hii leo wakiwa wamechanganyika na waliokesha.
 Kama unavyoona mambo yamekamilika kuanzia stage adi viti.
 Huuu!!!...ndo ujioo wa watu.
Huyu ni afisa usarama wa UKAWA.

0 comments:

Post a Comment