Saturday 22 August 2015

Breaking News>>>Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujiondoa katika chama tawala cha CCM na kujiunga na UKAWA.



Sumaye ametoa kauli hiyo muda si mrefu Jijini Dar es Salaam na anakuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa pili kujiunga na Ukawa baada ya Mhe. Edward Lowassa kufanya hivyo.



Sumaye amechukua hatua baada ya kuona mwenendo wa CCM unapotea akisema Sumaye mimi naamia UKAWA kwa nia ya kukijenga chama mimi siamii UKAWA kwa sababu ya Lowassa au Mbowe kutoka kaskazini  bali nimeingia UKAWA kwa nia ya kukipa nguvu.
Toa maoni yako hapa.

0 comments:

Post a Comment